Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Malipo ya ankara za maji yanafanyika kupitia (control number) na yanafanyika kupitia mitandao ya simu ,kwa njia ya TIGO PESA, HALOPESA, MPESA, AIRTEL MONEY pamoja na T-PESA na kwa njia ya Mabenki na Mawakala wa CRDB, NMB, NBC na TCB.
Mteja afike Ofisi za Huduma kwa Mteja kwa ajili ya kufanya maombi na kuingizwa kwenye mfumo, akiwa na picha moja ya passport pamoja na kitambulisho kimoja wapo kati ya cha mpiga kura, NIDA au leseni ya udereva.
Baada ya kujiandikisha Wataalam wa Mamlaka watafanya ukaguzi (survey) kwenye e...
Nini nifanye ilinisipate bili kubwa ya maji.