Dira na Dhamira
Dira na Dhamira
Dira na Dhamira
. Dira.
Kuwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Mfano wa kuigwaTanzania.
Kutoa huduma ya Majisafi na salama inayotosheleza, pamoja na huduma ya Usafi wa Mazingira kwa kutumia Watumishi wenye morali ya kazi.
Maadili ya Msingi
BUWASA kupitia wafanyakazi wake inadhamiria kudumisha maadili ya msingi yafuatayo: -
- Bidii kazini
- Utii
- Uwajibikaji, kupenda kazi
- Kutoa huduma bora kwa wakati na kuzingatia haki sawa kwa wateja
- Kuwa tayari kufanya kazi wakati wowote tunapohitajika.
- Kuheshimu kanuni na taratibu
- Kutunza siri za mteja
- Kuwa na mahusiano mazuri kazini
- Matumizi bora ya rasilimali zilizopo
- Usafi na utanashati pamoja na kuhakikisha usafi wa mazingira katika vyanzo vya maji, maeneo ya mitambo na ofisi unazingatiwa
- Kutojihusisha na rushwa.