Namna ya kulipa ankra ya maji

 

Malipo ya ankara za maji yanafanyika kupitia (control number) na yanafanyika kupitia mitandao ya simu ,kwa njia ya TIGO PESA, HALOPESA, MPESA, AIRTEL MONEY pamoja na T-PESA na kwa njia ya Mabenki na Mawakala wa CRDB, NMB, NBC na TCB.