UKAGUZI WA MRADI WA MAJI MIJI 28 KARAGWE

Picha za ukaguzi wa mradi wa maji wa miji 28 unaotekelezwa kata ya Nyabihonza kijiji cha Ahakishaka wilayani karagwe mkoani Kagera.