BUWASA YASHILIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI KWA KUTOA MSAAADA KWA WATOTOT WENYE UHITAJI

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bukoba,BUWASA imeadhimisha wiki ya maji kwa kurejesha kwa jamii kwa kutoa zawadi mbalimbali kwa watoto wenye mahitaji maalum Shule ya Msingi Mugeza Mseto iliyopo Manispaa ya Bukoba.