22 Mar, 2025 - UWANJA WA KAITABA - BUKOBA
BUWASA YAADHIMISHA KILELE CHA WIKI YA MAJI KWA KUSHIRIKI MICHEZO MBALIMBALI NA WADAU WA MANISPAA YA BUKOBA.
KAULI MBIU YA WIKI YA MAJI 2025 ;UHIFADHI WA UOTO WA ASILI KWA UHAKIKA WA MAJI.
IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO...